Product was successfully added to your shopping cart.
Sala ya rozari. Tendo la tatu; Yesu anazaliwa Betlehemu.
Sala ya rozari. Tumwombe Mungu atujalie mapendo ya jirani. Bikira Maria aliwatokea watoto watatu wachungaji – Lucia, Francisco na Jacinta – akiwaomba watu wote wasali Rozari kila siku kwa ajili ya amani duniani na toba ya dhambi. Kwa sababu hiyo, kwa kusali kila siku Rozari Takatifu tunaweza kutafakari Historia NOVENA YA HURUMA YA MUNGU Yesu, Ninakutumainia Utangulizi Sala hizi Bwana Yesu mwenyewe alimfundisha Mtakatifu Sista Faustina Kowalska. Ipo katika mpangilio na mtiririko wa kibiblia na pia mafumbo yake yanafuata mpangilio huo. Rozari Takatifu ni sala yenye nguvu kubwa sana katika Kanisa Katoliki, ambayo huwaleta waamini karibu zaidi na Yesu Kristo kupitia Maombi ya Bikira Maria. Tendo la pili; Maria Mtakatifu anakwenda kumtembelea Elizabeti. Apr 23, 2025 · Rozari ya Fatima ni sala ya kipekee ya Kikatoliki iliyopata umaarufu mkubwa kufuatia maono ya Bikira Maria yaliyotokea huko Fatima, Ureno mwaka 1917. Kwa Utatu Mtakatifu Kwa Bikira Maria Malkia wa Rozari ya Pompei Kwa Papa Yohana Paulo II Utangulizi Hii Rosari Takatifu ya Kibiblia ya Bikira Maria imeundwa na mafumbo saba, ya tafakari na sala, kwa siku saba za juma. Tumwombe Mungu atujalie moyo wa ufukara Tendo la nne; Yesu anatolewa hekaluni MATENDO YA FURAHA (Jumatatu na Jumamosi) Tendo la kwanza ; Malaika Gabrieli anampasha habari Maria kuwa atakuwa Mama wa Mungu. Aug 2, 2024 · Rozari takatifu ni sala yenye nguvu na maarufu sana katika Kanisa Katoliki, husaliwa na wakristu kutafakari maisha ya Yesu na Maria yaani Fumbo la Ukombozi, hasa kipindi cha mwezi Mei na Oktoba. Kuendana na jinsi tunavyofunuliwa katika Maandiko Matakatifu, makundi haya tofauti tofauti ya Malaika hujipanga kuanzia karibu sana na Kiti cha Enzi alipo Mwenyezi Mungu, kwenda chini tulipo sisi wanadamu . Bwana Yesu alimwambia: “Kwa Novena hii, nitazijaza roho za watu kila neema iwezekanavyo. Tendo la tatu; Yesu anazaliwa Betlehemu. Dec 19, 2015 · Huu ni mwongozo kamili wa kusali Rozari Takatifu ya Mama Bikira Maria. Na yeyote atakayeisali Rozari hii atajaliwa kupata Huruma Kuu ya Mungu saa ya kufa kwake, hata wakosefu shupavu wakisali Rozari Jan 1, 2021 · Rozari ya Malaika Mkuu Mikaeli ni sala nzuri sana ya kumheshimu huyu Malaika Mkuu pamoja na makundi yote tisa ya Malaika. Dec 17, 2024 · MATENDO YA FURAHA (Jumatatu na Jumamosi) Tendo la kwanza; Malaika Gabrieli anampasha habari Maria kuwa atakuwa Mama wa Mungu. Rozari ya Anza kusali Rozari kwa kuibusu miguu ya Bwana Yesu katika taswira (picha) yake Msalabani kisha fanya Ishara ya Msalaba ukiwa unasema “Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina”. Wakati wa kusali unaweza kuongeza sala nyingine zifaazo kadri ya nafasi. Apr 23, 2025 · Sala ya Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu ni sala yenye nguvu na ya kipekee ambayo ilifunuliwa kwa Mtakatifu Faustina Kowalska kupitia maono ya Yesu Kristo. Ni sala iliyojaa tafakari, imani, na rehema nyingi kutoka kwa Mungu. . Mar 1, 2017 · Ifuatayo ni mada fupi kuhusu namna ya kusali rozari takatifu ya Bikira Maria, pamoja na sala kuu zinazosaliwa wakati wa sala hii ya rozari. Sala za Katoliki: Sala Muhimu Kwa Mkristu Mkatoliki . Tumwombe Mungu atujalie unyenyekevu. Uisali daima rozari hii niliyokufundisha. Lengo kuu la sala hii ni kuomba huruma ya Mungu kwa ulimwengu mzima, hasa kwa wenye dhambi, na kwa ajili ya wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki. Huruma ya BABA kwa wanadamu haikatizwi na dhambi ya kumwaga damu na kumwua Mwanae-masiha Yesu Kristo, bali anaipokea kama sadaka jumla ya ukombozi wa wanadamu ambao Mungu aliwapenda, akawaumba kwa sura na mfano wake na kwa ajili ya wokovu wao akamtuma Mwanae wa pekee. Apr 22, 2025 · Rozari Takatifu ni sala ya ajabu ambayo si tu inatufanya tuzidi kumpenda Yesu Kristo, bali pia hutufanya tuzidi kumkaribia Bikira Maria – Mama yetu wa Mbinguni. Kusali Rozari si tu ibada, bali ni tafakari ya maisha ya Kristo na upendo wa Mama Yetu Bikira Maria. Kuna matendo ya wiki nzima na Litania ya Mama Bikira Maria. cnkzdnwfghgyugqfdlilblafabykgbdhseaevkenmwphjesdtsqc